Achana na yote hayo kama unaweza Kukimbia Uwanja ule wa Taifa ( kwa Mchina ) raundi 35 kwa Spidi ya Mwanariadha Bingwa wa dunia Usain Bolt na ukazimaliza na hata ukiambiwa uunganishe zingine kama 13 hivi ukaenda tena na ukawaongezea na zako binafsi 9 basi Ajira Kwako ' Ujedani / Jeshini ' huko iko wazi na umeula Mkuu zaidi ya hapo usipoteze muda wako na endelea tu Kuuza zao Matikiti na Supu ya Pweza hapo ulipo.