Vipi Wanaharakat Wetu Mmechoka?

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,251
Reaction score
3,371
Wandugu Jueni Kuwa Nchi Nyingi Dunian Zilikombolewa Na Wanaharakati

Kwa Hapa Kwetu Tanzania Tuna Upungufu Mkubwa Wa Wanaharakati Na Tuna Utitiri Wa Wanasiasa.Ila Tuna Wanaharakati Wawili Shupavu Kabisa Wasoogopa Kusema Nao Ni Bi Helen Kijo Bisimba Na Mama Nkya Sasa Ajabu Ni Kwamba Nao Wanaonekana Kuichoka Kazi Hii Ya Mungu Mana Yametokea Mengi Na Hawakusema Kama Tukio La Kupigwa Kwa Lipumba Na Wana Cuf Na Mengine Mengi
 

Sina uhakika kama mgao wa Escrow haujawapitia!
 
miccm noma,unaweza ukaonyeshwa hata sehemu utakapozikiwa uku.uko hai,wapi ( ulimboka )
 
nani kakuambia kuwa hao ni wanaharakati? tanzania kuna wanaharakati njaa tu. hamna lolote.

 
nani kakuambia kuwa hao ni wanaharakati? tanzania kuna wanaharakati njaa tu. hamna lolote.

Sasa Tuwapate Wap Wanaharakati Wa Ukwel Wa Kutukomboa?
 
Virungu vimezidi!
 
Wanaharakati wako wengi tu nchi hii ispokuwa hawawezi kuingia kichwakchwa wanapoona mtendewa amefanya kosa kwa kuwa wanafuata misingi ya kaz zao ikiwa n pamoja na sheria,kanun na taratibu za nchi.
 

ungesikia chadema a k a PANYA ROAD ungewasikia akina kijo bisimba
 
ungesikia chadema a k a PANYA ROAD ungewasikia akina kijo bisimba

Hata wewe umeona hilo! Kuna matukio yanayowaumiza zaidi hata kama hawapaswi kuumia na kuna yasiyowaumiza hata kama yangefaa kuwaumiza. Utawaita Wanaharakati? Nimewapima muda mrefu sasa, wakati mwingine unawaona wamepigika sana Kiakili kiasi kwamba wanalazimisha waaminike hata kama haifai kuwaamini. Wameingiwa na Roho za Upendeleo, hawajui Ku Balance mambo tena. Kwahivyo haifai tena kuwaachia kazi ya kuwasemea wanaoonewa, kwa vile sasa hawajielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…