Vipi Viongozi wetu

bagwell

Senior Member
Sep 19, 2012
113
25
Ningependa kuleta dukuduku langu kwa wanaJ kwa hao viongozi wetu wa Jimbo letu la Kikwajuni(Zanzibar) Mwakilishi na Mbunge mbona hatukuoneni mitaani au ndio mushapata fupa tena...ila dawa yenu inanukia na simuda mrefu mutazisoma namba zetu...naongea hivi kwa sababu mara mwisho (2011) wewe Mwwakilishi wetu Mheshimiwa Bwana Misifa Mahmoud ulikuja mtaani ukawapiga ofa wananchi yako ya kahawa hadi hii leo hatujakuona na wala kukusikia kwenye redio ukalitetea Jimbo lako hatujakusikia na Bwana mtanashati Mbunge wetu mbona ahadi zako haujatimiza hadi hii leo au ndio uko bizi na safari zako nje ya nchi sawa...2015 imekaribia...
 
Back
Top Bottom