Vipi vigezo vya kuingia degree mwaka 2017/18?

kim jung shik

Senior Member
Mar 26, 2014
129
23
vipi ni vigezo vya kuingia kusoma masomo ya degree kutokea diploma na advance na form four kwa mwaka hu wa masomo kwa mujibu wa tcu
 
Equivalents
GPA 3.5
CSEE kiwe na at least three (3) Credit pass.
Engineering course at least three credit pass, usiwe na F YOYTE masomo ya sanyansi inclunding basic mathematics
ACSEE D mbili tu(point 4)
Note.GPA HIYO KUANZIA MWAKA WA MASOMO WA 2017/2018, pia zingatia sana cheti cha form four(CSEE).
masomo Mena mkuu.
 
Back
Top Bottom