Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Huo ushauri uliotoa kuna mtu asiyeufahamu kweli?
Punguza tu sauti,wala hakuna jipya hapo
Gharama zako kwa mwezi tafadhali
Avatar yakwako auSauti inatosha kabisa. Nasisitiza Kila mwanamke ana gharama yake ya kumpata na kuendelea kuwa nae.
NB: Gharama sio pesa tu
Picha yanguAvatar yakwako au
Wengu hawajui la kufanya kama 89% hivi, hujawaona mtu akishapata haraka haraka anasema anakwepa gharama ya kuwa na weweHuo ushauri uliotoa kuna mtu asiyeufahamu kweli?
Punguza tu sauti,wala hakuna jipya hapo
Hakuna sio yakwako mbona tofauti na ile niliyoiona pmPicha yangu
Ulitumiwa fakeHakuna sio yakwako mbona tofauti na ile niliyoiona pm
kumbe ulinidanganya eheh 😂 😂Ulitumiwa fake