Vipi unaweza kuitoa 400K kuwa 1.2M kwa miezi minne(4) tu

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
4,997
LEO

Tuelekezane kidogo, kutokana na ugumu wa mtaji, ajira nk...

Hivi ukiwa na kihasi kama cha 300,000/= mpaka 400,000/= cash unawezaje/mishe gani utaifanya kui-Double muda wa miezi miwili tu Ikiwezekena kui-Dable tena miezi miwili nyingine tena yaani kwa kutumuia iyo 400,000/= uweze kuitengenez ma 1.2M kwa miezi minne(4) tu.

Sizungumzingii kuamzisha biashara bali thing like Hustle utayofanya bila ku-Settle itayozungusha fasta pesa.

Funguka hapa kitu unachoweza fanya, uliwai fanya, utamshauri mtu afanye Fast Rising Fund maana wengi wako na 100K, 200K ambapo sometimes wana Figureout sana akiri ina stack.
 
Ile ban ya miaka mitatu imeisha au ulinyimwa!

Kwenye mada; Mimi kwa kiasi hicho naweza kuizidisha mara mbili ndani ya mwezi na wiki mbili au tatu hivi.
Ni swala la kuamua tu na kujitoa.
 
Hapo labda zile mishe za kukopesha, na uwe na wateja wa uhakika.
Wengi wanaokopesha(kimtaani taani) akikupa 100,000 baada ya wiki unatakiwa kurejesha 130,000(riba 30,000)
Sasa hapo ukiwa na mtaji wa 400k inamaana utakua na 30k*4=120k kwa wiki.

Mwezi mmoja una wiki 4.
4(wikiz)* 120k= 480k(more than double/month).

Mengine malizia mwenyewe, ila mara nyingi hesabu za karatasi huwa nyepesi kuliko kufanya kitu chenyewe but ukiweza kwenda sawa nadhani mambo yatakua hivyo.
n.b kama nimekosea hesabu zangu nirekebishwe maana tangu form one mpaka 4 nilikua mtu wa F(mswaki) D nilipata mock na necta tu.
 
Easy Sana Mkuu. Inahitaji kukaza roho. Kama upo Mwanza nenda visiwani mathalan kasalazi, gembare ama soswa.
Muda wa Giza dagaa ndo huvuliwa kwa wingi. Debe la dagaa wabichi wale mchuba huuzwa tsh5000-6500. Hapo kwa pesa yako itabidi uchukue debe 40. Maeneo ya kuanika yapo huko wamama ndo shughuli zao. Bei kwa debe kuanika ni 1000-1500. Omba jua liwake.
Uzuri wa hii biashara ukianika debe/ndoo 1 amini ikikauka ni 1.5.
Hapo jumla utakua na dumu 60== gunia 10. Kwa debe 6. Lakini waweza funga mpaka dum 8-10 kwa gunia. Usafiri ni Vema ukapata gari zinazorudi huko sana huwa ni Kati ya 3000-6000.
Soko kubwa lipo Shinyanga,Tabora na Simiyu hasa vijijini itabidi ufanye research siku za minada. Bei ya kuuzia kwa debe ni kati ya 14500-18000.
Mimi nilianza na mtaji wa laki Moja.

Ukitaka haraka tafuta soko la bange then nenda simiyu, vijiji vya geta hasa huko kwa msukuma, ngara huko maporini uwe unatumia bange na uakisi muonekano wake. Huko mwezi wa mavuno ni may debe huuzwa 40000. Kama mgeni chukua debe sita. Wasafirishaji hutumia baskeli gunia hubebea 50000 na mtumbwi kwa gunia 20000. Usihofu kuhusu kupark. Bei zoo ni200000 kwa debe.
Nadhani nmekutajilisha. Kazi kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida iko kwenye kupata gari amphibious likaogelea toka kisiwani Hadi nchi kavu
 
funguka kaka usiwe kama huyo wa mathayo 7:6
1. Tafuta vijana 2 kutoka bush
Wanunulie baiskeli
Tengeneza barafu na kila mmoja mpatie 250pc atembeze kwenye mashule,mikusanyiko n.k
kwa siku utauza: 500 x 100= 50,000

2. Tafuta kijiwe maeneo ya stand/sehemu yenye mikusanyiko ya watu huku ukiwa na radio ya mkulima
Weka mabenchi,na wanyweshe kahawa marafiki zako huku mkijadili mambo ya corona
mauzo kwa siku: 100 x 100 =10,000

3.Tafuta mama mjane/single M mpambanaji
Akaange kuku/samaki wale wadogowadogo,atembeze maeneo mbalimbali huku akiwa na ndimu na pili pili
Mauzo kwa siku:100 x 500 = 50,000
 
Back
Top Bottom