Chungu cha bibi
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 525
- 166
Nimenunua laptop k/koo HP CQ61 ram 2gb Hdd 250 gb processor 2.4ghz vipi wadau nimepigwa au?
Bila ya kutaja bei hatuwezi jua kama umeibiwa au la.
Yeah, umepigwa mkuu! Umepigwa usawa huu wa 99,000! pole sana ndo town hii!Nilisahau mkuu nmenunua kwa 399000/=
Yeah, umepigwa mkuu! Umepigwa usawa huu wa 99,000! pole sana ndo town hii!
Kama ni kariakoo haina shaka umeibiwa......matapeli wote wa mji huu wamejaa pale...pole sana mkuu...........
Wasikuvunje moyo bei iko sawa usjali kama ikiwa ipo ktk condition nzuri kinyume na hapo umepigwa
Hiyo machine haizidi laki tatu, hata zile dual core za speed hiyo zipo kwenye tatu na nusu
Ni mpya mkuu