vipi kuhusu zitto

vipi kuhusu zitto

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
je anaendelea kuwa naibu wa upinzani bungeni? Maana lissu alisema watajaza nafasi hiyo.
Na kwa zitto kupenya kwenye kamati siyo ushahidi kwamba ndoa yake na ccm bado hai.?maana ni muujiza tu kwamba cdm angechaguliwa ktk kamati.
 
Kama chama kimefuata wenstminster system..mwenyekitianakuwa kiongozi mkuu na makamu mwenyekiti ana kuwa naibu wake???

Naamini zitto anatakiwa ampishe mze arfi..heshima tu mkuu
 
udini ni lugha ya watu waliofilisika kifikra! Huyu binti anatakiwa asaidiwe kufikiri vema!
 
Back
Top Bottom