Vipi Kuhusu Puma?

Vipi Kuhusu Puma?

Mwanganta

Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
31
Reaction score
8
Salaam, hawa jamaa walitoa nafasi za graduate trainee vipi kuna watu waliitwa au bado? tujuzane.
 
sijasikia anything kutoka kwao. maana na mimi nili-apply pia. ila kimya.
 
Poleni sana wajomba,,wahusika wako Honeymoon...Wakirudi mtaitwa..
 
Back
Top Bottom