Vipi kuhusu Bango la Chama cha Walimu?

mtunzasiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
1,449
Reaction score
993
Kuna mambo mengi sana yanasemwa kuhusu changamoto za walimu na taaluma yao, lakini kuna hili la Bango kwenye jengo la ghorofa Ilala hivi walimu mmeshindwa kabisa hata kukarabati hilo bango tuu la Jengo hilo? [emoji848] [emoji848] [emoji848] [emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…