Location ilikuwa Moshi&manyara
yaan nilikuwa nataka kufahamu kama wameita watu kwenye interview au badoKama ulishafanya Usahili basi ni lazima watakupigia Simu au Barua pepe.
Lakini kama bado hujafanya usahili wewe nenda na vyeti vyako siku hiyo na nakushauri kwenye Curriculum Vitae (Mtaala) wako ujaze hata Uzoefu wako katika hizo shughuli za kijamii zinazoendana na Shirika la Msalaba Mwakundu.
Mwisho kabisa kuna mawili nikupe kwa kifupi,
Mosi, tembelea mtandao wao ujue ni nini wanafanya haswa. Ofisi zao nyingi zinaongozwa na Wakenya hivyo ni muhimu kujua.
Pili, jiongeze na wewe usiishie hapo tu. Ukifanya kazi Tanzania Red Cross Society(TRCS) na kumaliza jaribu kwenda International Committee for The Red Cross (ICRC).
Nakuahidi, huwezi jutia maamuzi yako.
Mbona nimeona kama kazi zao zimekuwa re advertised?yaan nilikuwa nataka kufahamu kama wameita watu kwenye interview au bado
no! program managers
sawa nilidhani tayari wameita kumbe bado badoKama umeshatuma maombi kati ya tarehe 12 February hadi 19 February ambayo ndiyo mwisho,
kama utakuwa umechaguliwa ndiyo watakujulisha wenyewe uende kwenye usahili.
Huo ndiyo utaratibu.
BTW, to be more precise TRCS is in search for the Project Manager and not program manager