Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,752
- 21,974
Utopolo walijua wamelamba dume kwa mwamnyetoKwa Onyango ndio utaelewa kwanini Simba hawakuhangaika na Mwamnyeto
Utopolo walijua wamelamba dume kwa mwamnyetoKwa Onyango ndio utaelewa kwanini Simba hawakuhangaika na Mwamnyeto
Mkuu acha kupoteza nguvu zako kwa kubishana na mitakataka ya utopolo ambayo mpo class tofauti.....Mababu waliwapiga nne au mnajifanya mmesahau
Gongowazi unaona umeongea point mwenyewe....bila kujua mwanaume anakupigania na wew ushiriki club bingwa au hata shirikisho mwakaniSasa klabu bingwa utafika wapi na mibabu yako ambayo usipoiamkia inakugonga makofi!? We anza tu kujadili itakuwaje akikutana na mwendo Wa Farid Musa!
Hapana sisi tuna kazi naye ambayo hajaimalizaLiver wamchukue kwa mkopo akamalize msimu