Vipere sehemu za siri na kuota vinyama

Vipere sehemu za siri na kuota vinyama

graxana

Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
58
Reaction score
23
Siku hizi kuna magonjwa ya ajabu sana ambayo zamani hayakuwepo,, mfano BAWASILI (kuota nyama sehemu ya haja)ni tatizo linalosumbua wengi mpaka wanashindwa hata kutembea .na sasa kuna wanawake wanaoota vinyama kama visunzua sehemu ya uke,,Kampun ya BF_Suma kutoka USA inakuletea lishe ya asilia isiyo na madhara yoyote mwilini, itakayo weza kuvimaliza vipere na vinyama sehemu za siri bila operation kabisa,, bidhaa zao zimethibitishwa na TFDA na TBS,, pia wana lishe ya kurutubisha uume ulioathirika (haiongezi ukubwa) inakuacha natural kama ulivyokuwa zamani, ni nzuri zaid kwa wenye KISUKARI itakufanya uwe fit kabisa,, fungus sugu ukeni zinatibika, vidonda vya tumbo, misuli, mifupa, joints, weusi mapajani na makwapani, madoa , kutoka damu puani na mengine mengi,, piga 0656000857 au 0688419041 kwa maswal zaidi
 
Nilidhani unakuja na huu uzi kueleza nn sababu,dalili na namna ya kutibu hayo matatizo ila kumbe ni una tangaza biashara.
Mods Active INNOVATOR naomba huu uzi uende ktk ujasiriamali ama nafasi za kazi na tenda na ikiwezekena jamaa alipie tangazo la kupromoti bidhaa za kigeni.
 
Pale makumbusho uchumi si walishahama hapo, kwenye hilo ghorofa la hapo au kwenye vifremu vya nje??
Tupo hilohilo gorofa la pili juu, karibu hatujahama ni duka kubwa
 
Back
Top Bottom