Vipeperushi Vya Kampeni

Notice Board

New Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
4
Reaction score
5
Kwa namna moja au nyingine hivi vipeperushi vinavyobandikwa kwa wingi sehemu moja hasa kwenye miundombinu kama madaraja na majengo ni uchafu sana.
Sasa serikali inaposema maeneo mengi machafu ikumbuke kutoa hivyo vibandiko ambavyo huwa wanaviacha baada ya kampeni. Wakumbuke namna tu vilivyoandikwa ni uchafu tosha.
 

Attachments

  • 1000008059.mp4
    8.6 MB
Mkuu, video ya zamani iyo, hapo Daraja la Rock City hamna izo mambo. Walitoa.
 
Najenga inchi sitoi boko,
Serikali mbwa koko.

Iyo hela inayotumika kufanya uchafuzi ivo wanaitoa wapi hawa watawala 🤦🏾‍♂️.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…