Vipaumbele vya serkali hii ni vipi?

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Habari wakuu

Nchi yoyote yenye nia na maendeleo ni lazima ijiwekee vipaumbele vya kuvifanya

Hapa lazima serikali iandae mikakati, malengo sera na itikadi zitakazo simamia kufanikisha vipaumbele husika, na hapa ndipo Mwalimu aliwashinda na hafananishwi na viongozi wa sasa tulionao. Mwalimu alikua na sera, itikadi na vipaumbele vyake!

Awamu ya tano ilijaribu kuintroduce sera ya viwanda, hadi hapa tulipofikia sioni kama kuna kuelekea kufanikiwa kwa sera hii

Sera imehainishwa kwa maneno tu!
Hakuna drawn plan itakayosapoti kukamilika kwa sera hii ya viwanda

Vipaumbele vya awamu hii vimekuwa tofauti na sera ya viwanda!
Awamu hii vipaumbele vyake ni kupambana na upinzani kwa kuminya democracy na kuwaada wananchi kwa kuongeza kodi na kupandisha gharama za maisha!

Hadi sasa hakuna initiative yoyote iliyoanzishwa na regime hii iliyozaa matunda zaidi ya kukamilisha zile zilizoanzishwa na Jk

Vipaumbele vya awamu hii ni vipi?
Viwanda, kilimo, biashara, elimu, afya, maisha ya kati kwa mwananchi au nini

Maana yanayofanywa na nchi hii ni tofauti na sera zinazoubiliwa huku zikikosa imani na itikadi zikazosimamia sera izo!

Viwanda bila itikadi na imani haiwezekani! Magufuli unaamini nini?
Shika moja kamilisha then anza lingine hapo utafanikiwa lakini sio kwa kuwaada wananchi na upinzani!
 
Maguful Anaweza kuwa na nia nzur tu

Lakini aproach yake inaweza kumwonesha ni km bashite

Bado ana muda wa kubadilika

Asiishupaze tu shingo yake kuelekea bandarin
 
Huyu anabugi sana badala ya kutengeneza viwanda anakomaa na upinzani ushauri alipata kwa kagame hajui rwanda ni sawa na mkoa mmoja ni rahisi kudhibiti,atulie aachane na sound za kaijage anaeamini kwenye porojo aweke mkakati kamili wa viwanda
 
Prioirities:-

1. Fanya KAZI!
2. Kutumbua
3. Kukamata wanaomkashfu mtukufu Mfalme.
4. Vi -wonder!!
5. Kuendesha operations za kuvamia vamia..
6....
 
Back
Top Bottom