Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Unaposema maandazi unamaanisha nini fafanua, hizi narrations za matumizi ya serikali muwe mnazisoma kwa makini usione maandazi ukafikiri yale maandazi ya chai inaweza kuwa na maana pana zaidi.
Unahitaji maombi wewe unayelipwa kwa kupost upuuzi wako.SHAME ON YOU
Tatizo ni namna tunavyopata viongozi wetu. Kuna watu ambao hawawezi hata kuongoza familia Leo wanaongoza nchi. Mkombozi wetu ni katiba. Wandugu tushiriki mchakato huu kuweka misingi itakayotuongoza.wadau litazameni na hili,wakati serikali ya jk ikishindwa kununua city scan moja kwa ts 350 mil imetenga bil 3 kwa ajili ya maandazi wizara ya afya.
Bei ya checkup ya hiyo mashine pale muhimbili ni 170000.
Sasa hivi nchi haina mashine hata moja inayofanya kazi.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa sikika.
CT scan pale muhimbili tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa ni mbovu miezi 6 wakati ina zaidi ya mwaka sasa na ukilinganisha bei kwa muhimbili km inafanya kazi ni sh 50000 kwa mgonjwa ambaye hayuko kwenye fast truck ni bei ambayo walau mwananchi wa kawaida anaweza kujipigapiga akalipa. Lkn kitendo cha serikali kuelekeza vipaumbele vyake kwenye chai bilioni 3 na checkup za wastaafu nje ya nchi bilioni 9 kwa kweli ni sawa na kuwaona watanzania wajinga ndo maana huwa wanasema hata tule nyasi lazima ndege ya rais inunuliwe.wadau litazameni na hili,wakati serikali ya jk ikishindwa kununua city scan moja kwa ts 350 mil imetenga bil 3 kwa ajili ya maandazi wizara ya afya.
Bei ya checkup ya hiyo mashine pale muhimbili ni 170000.
Sasa hivi nchi haina mashine hata moja inayofanya kazi.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa sikika.