Vipaji vinakuzwa kama hivi....

kabanga hapo badae mtoto kama huyu atakuwa nani
 
Last edited by a moderator:
Hahah...kaka mkubwa hivi vikikuwa nadhani ndio hugawiana kabang!!!


Mkuu watu8 hivi vinatakiwa vitandikwe haswa maana havijui vinafanya nini na madhara ya huo mchezo wao
 
Last edited by a moderator:
braza hatari kabisa najiuliza vinawaza nini.....au vinafananisha na nini
Blaki Womani nimejiuliza sana hilo swali ila kwa kweli havijui hata vinafanya nini na au ni nini walichokishikilia na matumizi yake ni nini
 
Last edited by a moderator:
Shem mwili wa mwanaume unajengwa kwa nguna hahah...

Astaghafulilah!
Wanaume jamani mnakula, khaa!
Hapo wanaume 4 wanaufuta lakini sie hata tuje 50 hatuumalizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…