vipaji halisi

Golikipa kaziwe kende zake rehani.
 
Duh! Vipaji halisi kweli kweli. Namuona na Casillas hapo amebana kila pande huku kaweka mzigo rehani.
 
Kama mtoto wa kiume ngoja wafumue shuti kisha mpira umpige katikati huyo mlinda mlango, kitakachofuata kilio na hatorudia tena
 
haa hiyo style kipa nimecheka mpaka machozi yametoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…