Muarubaini
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 222
- 48
hapo awali tulizoea kuona matangazo ya Hakielimu yenye ubunifu wa hali ya juu katika kuelimisha jamii na kuikumbusha serikali wajibu wake. Lakin hiv karibun shirika hili limebaki jina tu na halinga nguvu ya ushawishi. Hii inasemakana nikutokana na uongozi wa sasa wa hii ngo kutodhamin na ku retain wafanyakaz wenye utendaji mzuri na kusikiliza majungu ya baadh ya wafanyakaz.