Poa Mkuu,
Hawa jamaa wa radium salon equipments wapo town,kati wa mtaa wa swahili na matumbi,number zao ni
Main: +255 2181727
Fax: +255 2181727
Other: +255713608681
Other: +255787040312
We jitambulishe wakuelekeze mahali walipo,ni wahindi ila wapo fresh sana.
2)Fundi wa vioo vya salon ni fundi yoyote wa kutengeneza aluminium,we nenda kwa wale mafundi wanaotegengezea madirisha ya aluminium ndio hao hao wanaofanyahizo kazi.
Sina fundi maalum wa kazi hiyo,ila niliwahi kwenda pale maeneo ya Buguruni ndio fundi mmoja alinifanyia mie kazi yangu,ila miaka mingi sana,lakini ni hao hao mafundi wa aluminium za majumbani ndio wanaofanyakazi hizo