Vioo juu ya mto colorad

ninavyoogopa heights huwezi kunipitisha hapo!!!
 
Nilivyo muoga wa hata vighorofa vinne siwezi kupanda labda waniburuze.

Na hapo nishapiga kelele na kurusha mateke na kuwang'ata mpaka basi. lol
 
Nilivyo muoga wa hata vighorofa vinne siwezi kupanda labda waniburuze.

Na hapo nishapiga kelele na kurusha mateke na kuwang'ata mpaka basi. lol
Hahahaha hapo kabla unapika glass mbili za AMARULA!
 
Sisi na wachina wetu tunajenga madaraja ambayo mvua ikinyesha tu yanayoyoma na inabidi tugharamie upya; kwa mtindo huo umaskini wetu ni wa kudumu!!! Watawala wetu hawaionei huruma nchi bali wao akili yao iko kwenye kufikiri kuwa wakijenga barabara na madaraja ya kudumu hiyo 10% wataila toka wapi?
 
Mmmmmmh sasa hapo tenda kapewa mkandarasi wa ki-TZ sasa ivi pangekua na historia ya kuua watu wengi kwa mpigo.
 
Mbona mnapanda magari je ulishajiuliza speed anayoendesha dereva na kichuma kilichoshikilia usukani kinasyahiki kuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…