LENGEJU BOB
Member
- Nov 1, 2010
- 53
- 31
Na.Robert Victor Lengeju
Mambo hayaendi, matariri wanafurahi, masikini wanateseka. Wenye haki wanafungwa wahalifu wanasherekea mwaka mpya wa mafanikio.Wale tuliowapa silaha za kutulinda wamegeuka na kutumia silaha zetu kutudhuru sisi wenyewe. Hakuna wa kumkemea mwezie kwasababu kila mmoja anafanya uovu eneo lake na mwenzake anajua. VIONGOZI WETU NI SEHEMU YA MFUMO HALIFU, ni mada chokonozi ya kitafiti, Yenye kuibua maswali na kutoa majibu elekezi..inafumua hisia za mahusiano ya kimfumo kati ya wahalifu na watawala. Dhana kuu ya mada hii ni kwamba, uhalifu haukomi kwasababu wenye dhamana ya kuzuia uhalifu ni sehemu ya uhalifu wenyewe.
Usikose andiko hili makini, kwenye Jukwaa la Mwale wa Demokrasia, gezeri la Raia Tanzania, alhamisi Tarehe 9/1/2014..
Pamoja, tujenge nchi yetu…..Mungu atusaidie!