Viongozi wapya wa CHADEMA 2014-2019

hahahahahaa mwanzo wa kikao na mwisho bwana asifiwe aaamen zitto kabwe hakubali upumbavu huu ndo maana mnamtenga mwambien lema aache katabia kake mumpe uenyekiti kwa jina la yesu
 
hahahahahaa mwanzo wa kikao na mwisho bwana asifiwe aaamen zitto kabwe hakubali upumbavu huu ndo maana mnamtenga mwambien lema aache katabia kake mumpe uenyekiti kwa jina la yesu

Timu itakuwa kamili kicha kuongoza vichaa wenzake.
 
Utaratibu wa kuwachagua viongozi upo wazi kabisa, kila mwenye sifa ya kugombea anaruhusiwa kuchukua form. Hata wasaliti wanaruhusiwa kuchukua form japo tutawachuja mapema sana.

Tundu Lissu
Mbowe sijawaona kwenye list mkuu au ni chuki nini?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Timu itakuwa kamili kicha kuongoza vichaa wenzake.

unajua brother huyu jamaa( lema)mm cjawah kumsikia akiongea points yeye ni upumbavu tu na siasa kali at the end anatwambia tuwe wakakamavu while yeye mkakamavu jukwaani tu akifika kwa superman wake anakuwa mpole daah namuonea huruma mpaka kashindwa kuangalia mbele bungeni halaf hako katabia ni ngumu kuachika mshaurini na mumuombee
 

Mbowe japo katiba inamruhusu na bado yupo imara na amekivusha chama kwenye magumu mengi pamoja na kukiimarisha bt ningependa kumwona kama mtu makini anayekishauri chama kutokea nje ya chama mkuu Mungi,binafsi sina chuki na mtu,kuhusu kamanda wangu Gwiji la sheria lisu anapaswa kuendelea kuongoza kurugenzi ya sheria kwa kushirikiana na Peter kibatala mkuu,alphonce mawazo kma umri unamruhusu anafaa sana kuingia ndani ya baraza la vijana taifa,Kigaila anafaa kuongoza kurugenzi yake ya sasa mafunzo sema wamuongezee na operationi ya chama coz ni jasiri sana aisee.

😎
 
Kama kweli timu hii ikiamua kugombea na wajumbe wakawachagua,chama kitashinda uchaguzi wa 2015 asubuhi sana na hatimaye magamba kuwa wapinzani
 



Naamini hii itakwenda kutimia soon
 
Mkiingia mkenge wa propaganda za ccm za kuondoa Slaa na Mbowe baasi imekwisha! Fanyeni kila muwezalo kumbakisha Mbowe hata kwa kubadili nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…