Viongozi wapya wa CHADEMA 2014-2019

Ww acha kudanganya uma kunamwenyekiti alishatokea shinyanga bobu nyanga makani hulijui hiloo?
 
 
Hapo kwenye uongozi wa Bavicha amepatia sana mwandishi huyu,ukitaja jina la Jesca Kishoa tu,Migulu roho inataka kumchomoka
 
Hahah ....
Eti Profesa Safari awe Mwenyekiti wa CDM Zanzibar....

Tatizo wakiristo (CHADEMA) wanafikiri Kila Muislamu ni Mza-Zanzibari
 
Mbona na wote ni wakristo mkuu? Hawa ni viongozi wa siasa au wa kanisa?

Wewe akili yako imejaa matope.....kwani haujaona majina ya kiislamu huku? halafu Profesa baregu dini yake ni ipi? kama ni mkristo mbona aliapa kwa kuweka mikono yake kifuani badala ya kushika biblia kipindi anateuliwa kuwa mjumbe wa tume ya katiba? Utawashwa sana mwaka huu. Mimi nadhani jamaa kaandika ya kwake na chama kitachagua wahusika.
 
safi sana! idea nzuri,ikitokea hivi basi dhana ya uchaga na ukanda imekwisha ondolewa..
 
mbona umemsahau Ben Saanane? na kazi yooote anayofanya kumbe hana dhaman?
 
BRN hiyo...unashangaa nn?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mbona na mie simo sasa we uliandika ni msaliti nasema ni MSALITIIIIIIIIIIIIIIIIIIIJ lazima tukuondoee harakaa
 
Mungu wangu mbona Yericko nyerere haumo na ya G minja duuu
Ndio mkome kuongelea taasis za watuu
 
Haki ya nani, mleta uzi naye anaungana na waraka wa mabadiliko wa akina MM, M1,M2 na M3. Mnawapinga wa kina ZZK lakini kimoyoni mnataka mabadiliko. Haya sasa Ngoja LEMA aje na Tofali lake utakoma.....Mchg Msigwa umemtupilia mbali, Tundu Lissu naye hayupo...........weeeeeeeeeee hawatakubali.
 
Mbona post yote umeipigia mistari. Mimi sijaisoma kwa kuwa inaumiza macho sana. Sijui umeandika nini, nakutakia kila lakheiri katika hayo uliyoandika

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…