Viongozi,wanachama na wapenzi wa chadema tuhakikishe tunafanya haya kama tunataka kushika dola 2015


Hizi ni PROPOGANDA za CCM ambazo zimepitwa na wakati. Watanzania walio wengi wameishaanza kuzishtukia. Mwaka 2005 CUF kilikiwa chama cha UDINI na UKABILA na mikutano yake ilikuwa na JAZBA na kusababisha 'MAUAJI', lakini leo hii CUF ndio MBIA MKUU wa CCM! Hii inaonesha CCM ilivyokuwa mvivu wa ubunifu - buni staili nyingine ya Propoganda.
 
Lipi hapo ni jungu? Yote Yamefanyiwa tafiti na niya kweli

Ungefanya utafiti kwanza ukatupa majina ya walioficha matirilion usswis huku wanafunz wakiendelea kupata elimu katika mazingira magumu
 

Tunajua ww ni GAMBA,Peleka unafiki wako CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…