Viongozi,wanachama na wapenzi wa chadema tuhakikishe tunafanya haya kama tunataka kushika dola 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi,wanachama na wapenzi wa chadema tuhakikishe tunafanya haya kama tunataka kushika dola 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magesi, Sep 28, 2012.

 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Madhumun ya chama chochote cha siasa kama ilivyo chama chetu CHADEMA ni kushika dola kumekuepo na mwamko mkubwa wa wapenda mabadiliko katika nchi yetu kuona CHADEMA inachukua dola ili kuja na mapinduz ya kimfumo na utawala ambayo kwa tanzania ya leo ni lazima yatokee kutokana na taifa kama taifa kupoteza mwelekeo.CCM imeshindwa kabisa kwenda na changamoto za kiuchumi ambazo ni haki ya kila mtanzania mzalendo wa taifa hili angepaswa kufaidika na lundo la rasilimali tulizojaliwa miaka 50 tokea kupata uhuru taifa limekosa uzalendo wa kiutendaji ambao unasababishwa na mfumo wa kulindana kwa maslah ya CCM hvyo watanzania kuendelea kutaabika kila uchao.CHADEMA ndio kimbilio,tumaini na dira ya kila mtanzania mpenda haki na fursa sawa za kiuchumi ambazo kwa sasa CCM imefanya ni haki kwa aliye katika mfumo wao kifisad na familia zao bila kujali maslah mapana yataifa hili.HVYO CHADEMA inatupasa kufanya yafuatayo kila m2 kwa nafasi yake ndan ya CHADEMA na kwa wale wote ambao wamechoshwa na mfumo dhalimu wa CCM kwa muda mrefu kielelezo ni kufuatia baadhi ya majina ambayo yanatajwa kuwa ni magamba ndan ya CCM kuendelea kupewa nafas ya uongoz ndan chama.1.kila mtanzania awe na kitambulisho kupiga kura 2014 kama umri unamruhusu.2.Tuhakikishe tuna uongozi na ofisi ngazi za msingi nchi nzima .3.Uongoz wa makao makuu uhakikishe unafanya kaz kwa karibu na viongoz wote wa ngaz za chini.4.Tueleze kwa uwazi dhamira yetu kw watanzania wote mwelekeo wetu kisera na kiuchumi katika nyanja zote(YAANI SERA NA MWELEKEO MBADALA AMBAYO CCM KWA MIAKA 50WAMESHINDWA) 5.Mikutano inayofanyika iwe na mrejesho kwan CCM wana mbinu ya kupita kila CHADEMA ilpofanya mkutano hvyo wasijisahau kukaa na kuendelea kujua kwamba mikutano bila mrejesho na uhakiki wa kujua mafanikio ni muhimu zaid ni hayo tu.wakuu mnaweza kuendelea kuongeza mengine kwa maslah yataifa letu linaloanguka TANZANIA BILA CCM 2015 INAWEZEKANA TUKIAMUA KWA PAMOJA
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mengine ni haya ;
  6. cdm iache udini na ukabila kwenye chama
  7. uongozi uwe ni wa wote sio watu wakutoka kaskazini tu,
  8. mikutano ya cdm isiwe na jazba ambazo husababisha mauaji
  9. maamuzi ya vikao yawe ya busara kuliko jazba ambapo itatu cost kwenye chama km yaliyotokea mwanza
  10. waache kupata ufadhili wa kada wa ccm mr thabodo,

  Wakuu endeleeni ntarudi tena........
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Usiwasemehe Watanzania jisemehe wewe binafsi Chadema sio kimbilio la watanzania.
   
 4. M

  Magesi JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunahitaji mambo ya msingi sio majungu
   
 5. M

  Magesi JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ckushangai upo ndan ya mfumo wa kifisad ambao ni wachache sana kulinganisha na mamilioni ya watanzania wazalendo
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa kimbilio letu CCM mwenyekiti wetu anakaa anakenyua kenyua anapitisha vibwagizo vya NEC
  Salma Kikwete
  Miraji Kikwete
  Mohmed Halfani KIkwete
  Halfani Kikwete
  Mwanaasha Kikwete
  Ridhiwani kikwete vipi hapo chama letu hilo
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Lipi hapo ni jungu? Yote Yamefanyiwa tafiti na niya kweli
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh kweli nyani haoni..........vp Mtei anakaa kumkabidhi uenyekiti mkwewe (Mbowe), Slaa anakaa kupitisha jina la mkewe Chambiri kwenye viti maalum, Mbowe anakaa kupitisha jina na Lucy owenya na Ndesamburo ambao ni mtu na mtoto wake, lissu na dada yake pia, hiki ni chama au kikundi cha wapenda madaraka ?
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  kosa mali upate akili.

  Teh teh teh teh teh teh.......!
   
 10. M

  Magesi JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha upotoshaji baada ya Mzee mtei aliyefuatia una uhakika ni mbowe?
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  chadema ndio kimbilio pekee kwa umma wa watanzania wa sasa.
   
 12. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Hata mfanye nini hamuwezi kuchukua dola. Cheki leo Mwanza.
   
 13. M

  Magesi JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunasimamia kanuni hatuvunji kanuni kulinda nidhamu mmbovu ndan ya CHADEMA au kuna lingine
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,733
  Trophy Points: 280
  ...Mbona nawe unawasemea Watanzania!? lini tulikuchagua kama msemaji wetu? Wasemee magamba wenzio.

   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Sio umeona kuna makande hapo je Jakaya anaingiza kwenye NEC ya CCM bila kupingwa watu nane huku anafyeka Deo Lembeli,Zambi nk halafu unatuambia nini Dr Slaa na Rose kila mtu alikuwa na chama chake mpaka Rose upako wa mabadiriko ulipompata akaingia kwa kushindana na Nagu na kudhulumiwa ushindi kapigana
  Mbowe kijana wa Chadema ni mmoja wa waanzailishi
  Lucy Owenye muanzilishi wa Bawacha tangu chama kuanza ,Christina toka chuoni mwana siasa za mageuzi linganisha hawa na hao wanaopita bila kupingwa nyani wangu kaona kundule
   
 16. M

  Magesi JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waeleze kwn sytm ya kifisad inawasumbua
   
 17. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,251
  Trophy Points: 280
  umesahau kuhamasisha watu kupiga kura na kulinda kura
   
 18. M

  Magesi JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Well mkuu
   
 19. M

  MI6 Senior Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nasikitishwa na uwanja unavotumiwa vibaya kwa kupigana majungu, vijana jadalini hoja za msingi ili tujenge taifa letu na sio kutupiana vijembe havitatusaidia.kama mtu katoa hoja yake basi ijibiwe kwa hoja na co kejeli na maneno yasio faa.
  Napita tu...
   
 20. M

  Magesi JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu wengine hawajui maana ya kutoa hoja
   
Loading...