G Gad ONEYA JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,629 Reaction score 172 Jan 28, 2011 #1 Eti, ukiwa na viongozi wanaondekeza makundi, udini, uswahiba, ushirikina, visasi na jeuri ya utu uzima, hatuwezi kuwa na chama kinachoweza kuidhibiti serikali ili iwe na nidhamu!:laugh:
Eti, ukiwa na viongozi wanaondekeza makundi, udini, uswahiba, ushirikina, visasi na jeuri ya utu uzima, hatuwezi kuwa na chama kinachoweza kuidhibiti serikali ili iwe na nidhamu!:laugh: