mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
Wewe ndezi hufuatilii soka...Kwa taarifa yako hao ndio habari ya jiji la Cairo..gharama ya mchezaji mmoja unanunua Yanga yote na ukoo wa Zahera.Misri timu kubwa ni Zamalek Na Al Ahly, hizo nyingine hakuna kitu magarasa tu
Wewe ndezi hufuatilii soka...Kwa taarifa yako hao ndio habari ya jiji la Cairo..gharama ya mchezaji mmoja unanunua Yanga yote na ukoo wa Zahera.
Pyramid timu ndogo sana hawajawahi kushinda hata kombe la kugombea kuku, wamepanda daraja mwaka jana ndio waifunge YANGA? YANGA hata wakicheza kikosi B hawafungwi na pyramid.
Hii comment yako utakuja ichukiaMisri timu kubwa ni Zamalek Na Al Ahly, hizo nyingine hakuna kitu magarasa tu
Wakati huohuo Vyura wanataka kumlinganisha huyo na Molinga wa Tsh. Milioni20..WTFππππππkuna mchezaji kanunuliwa Bilion 20 klabu hiyo hiyo ya Pyramid
Usikaririshwe. Je PYRAMIDS FC ipo nafasi ya ngap ktk ligi kuu ya EGYPTMisri timu kubwa ni Zamalek Na Al Ahly, hizo nyingine hakuna kitu magarasa tu
ligi ndio imeanza juzi tu hata mechi 8 bado, hata Mbeya City walivyopanda daraja walisumbua. PYRAMID hawana uwezo wa kutoa hata droo na YANGAUsikaririshwe. Je PYRAMIDS FC ipo nafasi ya ngap ktk ligi kuu ya EGYPT
Wakati huohuo Vyura wanataka kumlinganisha huyo na Molinga wa Tsh. Milioni20..WTF
Wakati huohuo Vyura wanataka kumlinganisha huyo na Molinga wa Tsh. Milioni20..WTF
Unazingua ww hivi unawakumbuka haras el hoodod alimfanya mini simba licha ya kuwa katimu kadogoMisri timu kubwa ni Zamalek Na Al Ahly, hizo nyingine hakuna kitu magarasa tu
Ndio lugha sahihi ili wachezaji watie juhudi kupambana sio kuwadanganyaKwahiyo wewe ulitaka viongozi watamke kuwa "Pyramid ni timu ngumu sana hivyo timu yetu ya Yanga imeshaaga mashindano