Viongozi wa Yanga acheni siasa Pyramid hamuwajui kisoka

Tangu lini kikundi cha wahuni kikawa na bajeti?
Kikundi cha wahuni bado kipo mashindanoni?
Wahuni wameenda kupindua meza kwa Mashujaa. Angalia uwanja wa ovyo kabisa lakini ni size ya wahuni.
 
Hahahaaa. Mikia bwana.

Yaaani leo wote mnajifanya wachambuzi kuichambua Yanga.
 
Naona Yanga wamegoma kabisa kuzirusha mechi zao za kirafiki! Tatizo ni hao Pyramids, au?
Kwa hiyo hata mechi ya ligi kuu dhidi ya Mbao nayo watawaomba Azam tv wasiirushe?

Viongozi wa Yanga wanazingua katika hili. Kama ni kushinda tutashinda tu! Na kama imetubidi kufungwa, tutafungwa! Mambo ya kujificha ficha hayana tija kwenye soka la karne ya 21!

Yaani muda huu inatubidi tuwaangalie tu Simba wakicheza na Warundi! Wakati matangazo yalionesha mechi ya Yanga dhidi ya hiyo Pan African ingekuwa mubashara kupitia Azam sports HD!
 
Watu tulikuwa uwanjani. Mvua imenyesha shamba la bibi limejaa maji. Unataka Azam waonyeshe mabwawa ya maji wakati mechi imeirishwa?
 
Back
Top Bottom