mkatagogo JF-Expert Member Nov 21, 2015 229 43 Dec 22, 2015 #1 Viongoz wa vyama nje na ukawa kuzungumza na vyombo vya habar Leo wakiongozwa na Shibuda,Cheyo na Dovutwa
Viongoz wa vyama nje na ukawa kuzungumza na vyombo vya habar Leo wakiongozwa na Shibuda,Cheyo na Dovutwa
mfereji maringo JF-Expert Member Nov 19, 2010 1,039 255 Dec 22, 2015 #2 Vp Kiongozi Mkuu wa ACT atakuwepo?
I Ilongailunga JF-Expert Member Jan 18, 2012 1,388 896 Dec 22, 2015 #3 Hawana mandate hata ya 1% ya wananchi, ni vigumu watu kuchukulia kwa uzito watakachosema.
djesco Senior Member Jun 26, 2013 166 52 Dec 22, 2015 #4 dovutwa roll mode wangu mzee ana vituko huyu afu bwana mapesa nae dah!?