hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Nawapenda sana wanasiasa wa upinzani kwa jinsi wanavyopambana kwa nguvu za hoja.
Lakini nimeona sasa hivi maisha yao yamekuwa yapo mashakani sana tena sana na sipendi siku moja Nije niwapoteze waheshimiwa kama wakinaTundu Lissu, Zitto Kabwe, Mbowe, Lema, LijualikalI. nk
Na ninaamini hawa watu kati yao akija kupotea hata mmoja hilo litakuwa ni pigo kwa wale wote wanaoipenda demokrsia kwasababu hawa watu kazi walioifanya ni kubwa na bado hawajaimaliza na tunataka hiyo kazi waimalize wakiwa salama.
Watu wanasema hakuna mabadiliko yasiyo kuwa na gharama zake lakini lakini viongozi wa upinzani wamekuwa wakilipa gharama kubwa na hatujui mwisho wake utakuwa nini na kila wanachokifanya kwaajili ya kuwatetea wananchi lakini serikalini kinaokana ni kibaya.
Na matatizo yote wanayoyapata ni kwaajili ya kututetea sisi na walipofikia ni pakubwa sana na sauti zao zimefika mbali na tunawashukuru sana. Lakini kwasasa tunaomba mjiangalie usalama wa nyinyi kwanza pamoja na familia zenu.
Sisi tunapowaona tu tunafarijika sana hata kama hamtatusaidia chochote kwasababu kama kupambana mmepambana sana lakini hakuna serikali ilililo lifanyia kazi.