maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Huu ni wakati wa kuwa makini sana kuliko wakati wowote mana mshindani wenu ccm anatapatapa na kutafuta namna ya kudhoofisha upinzani.
Angalia idadi ya viongozi walioikataa ccm na kuungana na upinzani list ni ndefu sana Fedrick Sumaye, Edward Lowasa, Gimbale mwiru, laurent masha na wengine wengi.
Idadi ya wabunge waliopatikana ni wengi sana ukilinganisha na wakati wowote ktk historia ya wapinzani tanzania mpaka wakaamua bunge tusilione ili wakati serikali inaposhambuliwa kwa upuzi wao tusiwaone laivu
Idadi ya kura aliyopata mgombea wa upinzani ni mata tatu ya 2010 jambo ambalo limewaacha magu ccm yake hofu kuu kama mama anakaribia kujifungua. Wakaamua kupiga marufuku mikutano ya siasa lakini yeye kila siku yuko kwenye kioo. Hali hii ina athari kubwa kwake kama hafanya mabadiliko yoyote lawama yote itamwangukia yeye.
Sasa wapinzani kwa kuwa mna hazina ya vichwa vizuri mcheze kama pele ili jamaa ajifunge goli mwenywe mpaka sasa viungo wa timu ccm wanamshangaa striker wao mbona hafungi magoli na mashambuli yanazidi kwao kila kona.
Kuna namna nyingi mfano mikutano ya ndani ifanyike kwa wingi huku mkieneza maelekezo muhimu kwa watu kwa njia hiyo
mengine mnaweza kuongeza wadau.