Elections 2010 Viongozi wa Serikali kutumika vibaya

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Yamesemwa sana nami nimeshuhudia.

Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Monduli akihaha kutafuta vifaa kama maturubai kwa ajili ya kampeni za Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM.

Je kama kiongozi wa Serikali ni halali kufanya Kazi hizo kwa Mgombea wa CCM pekee!?
 
Back
Top Bottom