GE2025 Viongozi wa Makanisa ya Kimitume na Kinabii wahimiza Amani Uchaguzi Mkuu

GE2025 Viongozi wa Makanisa ya Kimitume na Kinabii wahimiza Amani Uchaguzi Mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Baadhi ya Viongozi wa Umoja wa Makanisa ya Kitume na Kinabii Tanzania, wakiongozwa na rais wa Umoja huo Nabii Dr. Joshua Aram Mwantyala wamehimiza amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Wameeleza kuwa, Wagombea watakaoshindwa kuchaguliwa na wananchi katika Uchaguzi huo, hawana budi ya kukubaliana na matokeo ili kutoleta machafuko ambayo yanaweza kuliingiza Taifa katika migogoro na vurugu.

 
Back
Top Bottom