Toa sadaka kama unampa Mungu na sio Mchungaji...
Wewe ukitoa sadaka nenea sadaka hiyo, amesema wananunua furniture..
Jenga madhabahu wanenee watoto hao juu ya madhabahu...
Wakabidhi watoto kwenye madhabahu iwalinde na kuwakuza vyema...
Ifike mahali tutambue shughuli zote za kanisa zinatumia pesa...