MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Rais Magufuli toka ameingia madarakani kuna mengine amefanya Katika kupigania Maslahi ya mnyonge.
Amekuwa akichukua maamuzi magumu ktk mambo tofauti ktk kuhakikisha rasilimali za nchi hii zinawanufaifa watanzania wote.
Nadhani ni wakati muafaka kwa Viongozi wa kijamii kuamua kufanya maandano nchi nzima ya kumtia moyo Rais Magufuli ktk juhudi hizo.
Maandamano hayo yakifanyika nchi nzima inaweza ikasaidia sana kurudisha heshima ya kitaifa kwa kazi ngumu ambayo ameamua kufanya ktk kunusuru mchwa waliokuwa wanaitafuna nchi hii ndani ndani na Rais Magufuli ameamua kuweka Waziri mambo mengi.
Najua mjadala juu wapo watakaopinga lakini wanajua kuwa Dr Magufuli anatetea Maslahi ya mwanainchi aliyekuwa anaibiwa kila siku.