Viongozi wa dini wataka Uchaguzi Serikali za Mitaa uahirishwe.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,274
47,339
IMG_20191110_083201.jpg
 
Viongozi wa dini kukaa kwao kimya ni sawa na kubariki huu ushenzi unaofanyika, wao watoe nyaraka aonywe huyu mtu. Point to note pamoja na yote ila upinzani hakuna kushiriki uchaguzi huu na wa mwakani mpaka katiba mpya ipatikane.
 
Tanzania tuna viongozi wa dini?!!

Kiongozi wa dini anashinda kwenye majukwaa ya wanasiasa!
Ndio, tuna viongozi wa dini tena wengi sana, tuliokosa ni viongozi wa kiroho, wako wachache sana kama Askofu Shoo, Askofu Bagonza, Askofu Mwamakula, Askofu Jimbo kuu la Tanga, Askofu jina linaishia nyigwemizi, Shekhe kiongozi wa kikundi cha uamsho unaona jinsi walivyo wachache nimeshindwa hata kuweka n.k
 
My opinion...Uchaguzi huu utaku wa kwanza kuwa na muitikio mdogo kwa wananchi kwenda kupiga kura...litakuwa kosa kubwa sanaa...uongozi sio akiri tu bali hekima na busara ni muhimu sana
 
Tanzania tuna viongozi wa dini?!!

Kiongozi wa dini anashinda kwenye majukwaa ya wanasiasa!

Ccm ndio huwa inawatumia viongozi wa dini kuhadaa umma kuwa inamjali Mungu, ndio maana eti siku hizi kila shughuli ya serikali viongozi wa dini wanaitwa kuomba. Siku zote huwa najua ule ni unafiki wa hali ya juu. Naona sasa hii viongozi wa dini wako kinyume na matendo ya ibilisi mnawatukana.
 
Kakobe na Gwajima walikuwa wajumbe wa CC ya Chadema!
 
Usimfananishe mtu wa Mungu Sauli (Paulo) na ushetani.
Sio Sauli yule Paulo ila ni Sauli wa agano la kale yule aliyekuwa anataka kuitoa roho ya Daudi(Lissu) ila akashindwa kwa nguvu za Mungu na baadae huyo Daudi(Lissu) ndiye akaja kuwa mfalme
 
Back
Top Bottom