Viongozi wa dini wamefikia huku

Huyu shekhe atanyimwa visa ya US,
Viongozi wa dini zote wangekuwa wanapinga ushoga hadharani kama huyu shekhe mashoga wasingejiachia kama hivi sasa,
Yani sahivi shoga akimnanga tu akienda polisi eti ni kesi tyr,
Kuna mmoja nilimtemea mate usoni bwana siku zikapita nikajua yameisha,
Doh,sina ili wala lile wazee wakantimbia naitwa kituoni maramoja bila kuchelewa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump mwenyewe anaupinga ushoga
Mbn bongo tuna watu wa Aina hyo na kutwa media zinawapaishaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Maelfu ya Wakimbizi wa Kiislam wanamejazana kwenye mpaka wa Uturuki na Ulaya wakiomba waingie huko, hawataki kukaa Uturuki kwa mashekhe wenzao
 
Maelfu ya Wakimbizi wa Kiislam wanamejazana kwenye mpaka wa Uturuki na Ulaya wakiomba waingie huko, hawataki kukaa Uturuki kwa mashekhe wenzao
Mpaka wa uturuki na ulaya? Hiyo uturuki ipo asia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…