Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Viongozi wa Dimi Tanzania nyanyukeni mtwambie ukweli kama nyinyi ni wanasiasa wa Chama Fulani na mpo kukitetea semeni ukweli, sio kama hivi tunavyo waheshimu mnashindwa kuonye kama kweli ni waheshimiwa,
Niwape mfano mzuri wa DRC, pale kwa Kabila kumeibuka tatizo lakini viongozi wa Dini wa DRC kwasababu wanaangalia usawa wameweza kusulihisha mgogoro na pande zote zimeuitikia usuruhuishi huo, Hapa Tanzania viongozi wa Dini mnaonyesha upande kabisa bila shaka, Nchi ikiingia vitani au kwenyemachafuko mtasema nini?
Mfano mzuri sakata la kupambana na udikteta, UKUTA, mliomba wenyewe kutaka kwenda kuongea na Raisi, na kwa kuheshimiwa kwenu mkaheshimiwa ,lakini matokeo yake mkakaa kimya bila majibu, msasuburi upinzani wakiamka tena mje na mengine? Au mnafanya siasa kupitia Dini? Yaani tunawaamini ni viongozi wa Dini kumbe ni wanasiasa kupitia Dini.
Kila Raisi analotamka hata Kama linakera mnaliunga mkono, kwanini tusiamini ninyi ni tawi la Chaka chake? Sasahivi matamko yamezidi kuwa makari zaidi lakini mko Kama hampo,
Kweli Raisi anaposema Mwafaa, wakati wana njaa na kweli wanaweza kufa wale watu watamwelewaje? Chakushangaza ninyi viongozi wa Dini mko kimyaaaaaaaa. Pakichafuka au wakifa hao watu mtasemaje?
Viongozi wa Dini mnatukwaza lakini msipo jilekebisha siku mtashidwa kuheahimika tena.
Fanyeni kazi ya kuchunga Kondoo wa Mungu achaneni na Siasa, kaeni kwenye ukweli kama kazi yenu inavyotaka kama kweli mliingia huko kwa hiari na Mioyo safi,, sio kwa Siasa.
Mungu awabariki.