CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Viongozi wa dini ni watu wa kuwasemea wanyonge. Kweli katika utawala huu hakuna baya mnaloliona la kulisemea kwa nia ya kurekebisha (si kulaumu). Au kwa vile ya kwenu yanawanyookea. Misamaha ya kodi mnapata, mnatukuzwa na waumini, sadaka waumini wanatoa, basi! Labda hamtaki kuweka wazi , sijui! Lakini haki lazima ionekane inatendeka. Mna kesi ya kujibu kwa Mungu huyo mnayemtaja kumwakilisha!