Viongozi wa dhati, wazalendo wa afrika walikuwepo enzi hizo, SIO SASA!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Samahani kwa wale nitakao waboa kwa hii thread, bt hii ni imani yangu, ndio maono yangu. Niaminivyo mimi africa ipo ktk crisis kubwa sana hususan katika uongoz na utawala, hii inanifanya niamini kuwa viongozi wa kweli, wa dhati, wazalendo, wenye upeo na focus kwa nchi zao, viongoz wenye hekima na busara ni wale ambao walikuwepo enzi hizo, wale waliopambana na kuleta uhuru kwa mataifa yao. Viongozi km mwl. Nyerere, kaunda, mandela, samora macheli, milton obote, kamuzu banda, lumumba, sekeo toure etc. Kwa sasa hakuna wa aina hii, km ni koti basi ni dhahili wamepwaya. Viongozi wa sasa wengi ni mafisadi, wala rushwa , wenye upeo mdogo na wapenda sifa. Hapa ndipo nafikia kuwaza juu ya kubinafsisha uongozi. Jamani tuwaenzi viongozi wetu wa ukweli, viongozi aina ya kina nyerere na wenzake!.
 
Ni kweli bara la Afrika kwa sasa limekosa viongozi mahiri kama ilivyokuwa akina Nyerere.
 
Kwa kweli Viongozi wa siku hizi wengi wao wapo zaidi kimaslahi, sioni tena wabambanaji naona tu ufisadi, na matajiri wa kubwa africa ni wana siasa hapo ndio huwa nashangaa
 
Back
Top Bottom