Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,404 Reaction score 100,602 Aug 20, 2016 Thread starter #41 Rweye said: Na walegeee wote. Haiwezekani maombi yanayoombwa nchi nzima na Mungu asitusikie waja wake. Mungu ambariki JPM! Click to expand... Weee kweli shetani,. Tena mjukuu wa shetani! CCM mnawaza mabaya tu, mnawaza mauti tu, mkimaliza kutuua wote mtarudiana wenyewe kwa wenyewe... Hamuwezi kubaki salama
Rweye said: Na walegeee wote. Haiwezekani maombi yanayoombwa nchi nzima na Mungu asitusikie waja wake. Mungu ambariki JPM! Click to expand... Weee kweli shetani,. Tena mjukuu wa shetani! CCM mnawaza mabaya tu, mnawaza mauti tu, mkimaliza kutuua wote mtarudiana wenyewe kwa wenyewe... Hamuwezi kubaki salama
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,556 Aug 20, 2016 #42 Elli said: Weee kweli shetani,. Tena mjukuu wa shetani! CCM mnawaza mabaya tu, mnawaza mauti tu, mkimaliza kutuua wote mtarudiana wenyewe kwa wenyewe... Hamuwezi kubaki salama Click to expand... Wanaopanga kutuua ni ndugu zako wanaopanga ukuta, na sie tunasema na laana iwe juu yao.
Elli said: Weee kweli shetani,. Tena mjukuu wa shetani! CCM mnawaza mabaya tu, mnawaza mauti tu, mkimaliza kutuua wote mtarudiana wenyewe kwa wenyewe... Hamuwezi kubaki salama Click to expand... Wanaopanga kutuua ni ndugu zako wanaopanga ukuta, na sie tunasema na laana iwe juu yao.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,404 Reaction score 100,602 Aug 20, 2016 Thread starter #43 Rweye said: Wanaopanga kutuua ni ndugu zako wanaopanga ukuta, na sie tunasema na laana iwe juu yao. Click to expand... Hahahahahahha unawaza kinyumenyume! Kumbe mnaogopa UKUTA kiasi hicho? Hahahaha poleni sana
Rweye said: Wanaopanga kutuua ni ndugu zako wanaopanga ukuta, na sie tunasema na laana iwe juu yao. Click to expand... Hahahahahahha unawaza kinyumenyume! Kumbe mnaogopa UKUTA kiasi hicho? Hahahaha poleni sana
Two Eyes JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 1,010 Reaction score 729 Aug 20, 2016 #44 get well soon aisee Mungu awasimamie ..
bridalmask JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 2,195 Reaction score 1,169 Aug 20, 2016 #45 Damu ya Yesu iwafunike na kuwalinda hasa na mabaya.....na nyote mpone mapema kuendeleza mapambano dhidi ya mambo uchwara yaliyojaa ktk nchi ya kusadikika, nchi ya viwanda, nchi ya mwendo kasi tuuu.
Damu ya Yesu iwafunike na kuwalinda hasa na mabaya.....na nyote mpone mapema kuendeleza mapambano dhidi ya mambo uchwara yaliyojaa ktk nchi ya kusadikika, nchi ya viwanda, nchi ya mwendo kasi tuuu.
Siasa Basi JF-Expert Member Joined Jul 10, 2016 Posts 1,493 Reaction score 4,287 Aug 20, 2016 #46 Pole ziwafikia Mungu awajalie afya walejee tena
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 17,079 Reaction score 12,310 Aug 20, 2016 #47 Ona sasa mungu hataki mambo ya kushikishana ukuta, mzee wa watu kastaafu kazi vizuri anakuja pata ulemavu uzeeni.
Ona sasa mungu hataki mambo ya kushikishana ukuta, mzee wa watu kastaafu kazi vizuri anakuja pata ulemavu uzeeni.
justus ndyanabo JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 444 Reaction score 379 Aug 20, 2016 #48 Pole sana viongozi wetu
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,664 Aug 20, 2016 #50 Poleni makamanda, Mungu awape nguvu na afya