Viongozi wa Chadema Kigoma

Viongozi wa Chadema Kigoma

KAMSIGE

Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
13
Reaction score
12
Hodi hodi wana jamvi,mm ni mwanajanvi mpya naomba mnipokee.nianze na viongozi wa cdm hapa mkoani kg tangu wachaguliwe hasa mwenyekiti wa Bavicha mr Beji ambaye pia ni meya wa manispaa ya h ya kg ujiji,huyu jamaa toka achaguliwe hafanyi Vikao wala kuhamasisha vijana kujiunga na chama yaani ubutu wake hana utofauti na panga la bibi,jamaa hajui chama kiko kwa vijana na hana mpango mkakati wowote wa kuimarisha chama hasa kupandikiza hisia zamabadiko kwa wana kg.Viongozi wa juu fatilieni haya.Kalibuni
 
Atakuwa amejigawaia hela za Ruzuku huyo.

Kawaida makao makuu hutoa hela za kutosha kwa ajili ya viroba na bange, mumbane awagawie na nyie
 
Atakuwa amejigawaia hela za Ruzuku huyo.

Kawaida makao makuu hutoa hela za kutosha kwa ajili ya viroba na bange, mumbane awagawie na nyie
Kama vile wewe ulivyopora rambirambi ya mjane WA Mwangosi basi unafikiri kila mtu ni kibwengo kama wewe.
 
Atakuwa amejigawaia hela za Ruzuku huyo.

Kawaida makao makuu hutoa hela za kutosha kwa ajili ya viroba na bange, mumbane awagawie na nyie
Hivi mbona watu wa ulaya wanakuaga busy sana?wewe mwenzetu kinakusibu nini? Au ndo jobless!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi mbona watu wa ulaya wanakuaga busy sana?wewe mwenzetu kinakusibu nini? Au ndo jobless!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Atakuwa anaishi maisha magumu sana. Uishi nchi za wenzetu bila kazi?
 
Atakuwa amejigawaia hela za Ruzuku huyo.

Kawaida makao makuu hutoa hela za kutosha kwa ajili ya viroba na bange, mumbane awagawie na nyie

Kweli gamba ni gamba,kama hauna kazi si bora ungeongozana na jk huko Iringa mkaangalie kama kuna car wash mzindue?.Bora waziri wa chama kikongwe aliyeenda kuzindua choo cha kienyeji
 
Back
Top Bottom