Tatizo kubwa la viongozi wa CCM ni
#Unafiki ,,wote ni wanafiki!!Membe wiki zilizopita alisikika na wapambe wake walisikika wakimnadi kugombea uraisi,,bwana mdogo Makamba naye kafunguka kaweka nia yake wazi ya kugombea!Sijamsikia yeyote wanaojiita makada wakikemea!Sasa Lowasa kuandaa chakula kama kawaida yake kila mwaka na kuwaeleza kuwa ni ndugu yao akihitaji msaada wamsaidie,hiyo ni dhambi na ban kalamba!!Huu ni
#Unafiki
CCM ni wanafiki ni wanafiki ni wanafiki!!Unakuta mtu kama AG anajua kabisa hela zimekwapuliwa na ni akina nani wamechukua,lakini yuko tayari hata apigane ngumi kutetea kuwa hakuna hela zilizokwapuliwa!!Huu ni
#Unafiki
Utakuta mtu ni waziri wa Elimu anajua fika kuwa hakuna mitaala stahiki na utaratibu wa maswali ya kuchagua kwenye mitihani unadidimiza elimu pia utaratibu wa division five na six na seven unaua elimu yetu,lakini yuko tayari kuutetea eti ni utaratibu mzuri ni mzuri na mitaala ni mizuri ni mizuri,huu ni
#Unafiki
Utakuta kiongozi anasema vijana wa Kitanzania hawana tatizo la ajira na huku anatambua fika matatizo ya ajira yaliyopo tena alishuhudia ajira za uhamiaji watahiniwa 10,050 nafasi 70 tu.Na tena alishihudia ajira za kwa Mwl Nyerere(ajira za Utumishi),watahiniwa 177 nafasi 3 tu!Huu ni
#Unafiki ni unafik ni unafiki
Tena ni kiongozi mkubwa yuko bungeni siku zote lakini mbele ya waandishi wa habari anasema hajui kwa nini UKAWA walisusia bunge la katiba,,nasema huu ni
#Unafiki ni unafiki ni unafiki!
Tena mtu anasema serikali ya CCM imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kabisa kuleta maisha mazuri/bora kwa Watanzania wote,wakati anajua fika,kila siku watu wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma,na wengine wanafia majumbani kwa kukosa hela za matibabu,huku bei ya unga na bei ya mchele ikipanda kila siku,wanafunzi wanakosa walimu wa kufundisha mashuleni,wengine wakikosa maeneo ya kusomea!Nasema ni
#Unafiki ni unafiki ni unafiki