Viongozi taboa kuajiri madereva walevi

Jatropha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2009
Posts
1,151
Reaction score
200
Jana katika kipindi cha Kumekucha cha ITV, kiongozi mmoja wa madereva wa mabasi alidai kuwa viongozi wa Tanzania Bus Owners Association (TABOA) wanakwepa kuwapatia ajira za uhakika madereva nabadla yake huchukua walevi wa viroba vya Konyagi mitaani na kuwapatia mabasi wasafirishe abiria badala ya madereva makini,
Nini maoni yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…