Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,509
Kwa wanopenda kuangalia TV za kenya live kwenye net bila kudownload chochote na ni free nenda google andika WATCH KENYAN TV LIVE utaona channel kama 6.Kati ya hizo ipo KBC,KTN,CITIZEN,NTV,K24 na moja imeandikwa KTV NEWS hii wamereekodi vioja mahakamani,tahidi high episodes nyingi tu.kwa wanaopenda enjoy kwa mlio umangani kubeba box au kula kitabu mkiwa free kazi kwenu. TV za kwetu hakuna hata moja wajamini free kwenye net.