Hua nafikiria sana ni kivipi shirika la utangazaji la Kenya lilibuni hii program inayoitwa Vioja Mahakamani. Sio siri hua navunjika mbavu na kupata burudani kuangalia vituko vya hawa waigizaji haswa bwana Olexanda Josephat na Ondieki. ni burudani tosha mtu ukiwa na stress jaribu kupitia youtube na uwaangalie hawa jamaa. They are so fun.

Nadhani linaonyeshwa bado. Kundi lenyewe wanafanya tour huku kenya na hata ukipenda wanaweza kufanyia private tour kama vile kwenye sherehe.
Kadri mtu anvyozidi kuongeza miaka,Umaarufu wao huwa inapotea.