Jama kapanda ferry karibu nae kukawa na bibi mzee amevalia rinda na kofia yake mpya.mara upepo mkali ukavuma.rinda la yule bibi likawa lapeperushwa na hakua na chupi.yule bibi kaonekana akizuia kofia zaidi ya rinda.yule kijana akamu uliza " mbona hauzuii rinda na hauna chupi" bibi akajibu " **** ninayo miaka 50 lakini kofia ni mpya.ndio manake nazuia kofia.