Ving'amuzi vya itv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ving'amuzi vya itv

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, Apr 3, 2011.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana jf habari za week end. Kulikuwa na habari itv walikuwa ktk mchakato wa kuja na digitali. Wamefikia wapi. Mwenye info.atujuze.
   
 2. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nami nawasubiri kwa hamu kubwa. Tena waliungana na Star TV wakachukuwa leseni moja lakini wamekaa kimya!
   
 3. D

  Datty Alexander Member

  #3
  Mar 1, 2013
  Joined: Jan 14, 2013
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vimetoka tayari Vinaitwa Digitek
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2013
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mzigo umezama baharini wanahangaika kupata mzigo mwingine!
  kuwa subra!
   
 5. omymtunda

  omymtunda Member

  #5
  Mar 29, 2013
  Joined: Jan 31, 2013
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ivyo vya digitek vinapatikn wap.?
   
Loading...