Ving'amuzi vya Azam Tv

Ving'amuzi vya Azam Tv

ukijibiwa nami nitapata jib...i need it, labda nieleze merits zake ukitofautisha na wengine
 
Waliovitumia hasa toka Dar wanadai picha zake hazikatikikatiki km vingine
 
Jamaa yangu AZAMTV inatumia setellite dish sasa basi inapatatikana TANZANIA NZIMA na AFRICA NZIMA na ULAYA. Azam ni DVB-S na siyo DVB-T, Nunua uendelee kula raha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom